tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Aug 10, 2011 #1 Habari zenu wadau? Nimepoteza cheti cha kuzaliwa ambacho nilikipata huko Mbeya. Kwa sasa nipo DSM, Naomba yeyote anayejua utaratibu wa kupata kingine anijulishe.
Habari zenu wadau? Nimepoteza cheti cha kuzaliwa ambacho nilikipata huko Mbeya. Kwa sasa nipo DSM, Naomba yeyote anayejua utaratibu wa kupata kingine anijulishe.
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Aug 10, 2011 #2 Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura.
Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Aug 10, 2011 Thread starter #3 Eshacky said: Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura. Click to expand... nashukuru, vipi inahitaji kuripoti polisi?
Eshacky said: Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura. Click to expand... nashukuru, vipi inahitaji kuripoti polisi?
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 615 Aug 10, 2011 #4 Kuripoti polisi lazima. Andaa kiasi fulani kama kawaida, cha kupata doc. ya polisi. Nenda msimbazi ndo wako fasta
Kuripoti polisi lazima. Andaa kiasi fulani kama kawaida, cha kupata doc. ya polisi. Nenda msimbazi ndo wako fasta