Nimepoteza cheti...!

Nimepoteza cheti...!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Habari zenu wadau? Nimepoteza cheti cha kuzaliwa ambacho nilikipata huko Mbeya. Kwa sasa nipo DSM, Naomba yeyote anayejua utaratibu wa kupata kingine anijulishe.
 
Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura.
 
Kuripoti polisi lazima. Andaa kiasi fulani kama kawaida, cha kupata doc. ya polisi. Nenda msimbazi ndo wako fasta
 
Back
Top Bottom