Nimepoteza imani na m-pesa

Nimepoteza imani na m-pesa

dala dala

Senior Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
106
Reaction score
105
M-PESA imeanza kupoteza mwelekeo na kukosa uaminifu. Nimehamisha fedha kutoka akaunti yangu ya M-PESA kwenda Akaunti ya Benki. Kilichotokea ni kuwa fedha imekatwa M-PESA lakini haijafika kwenye akaunti yangu. Pamoja na kufanya ufuatiliaji naona nazungushwa tu. Wadau naombeni ushauri nifanyeje. Nimewasiliana na Benki yangu wamenieleza kuwa wao hawashughuliki na fedha ambazo hazijaingia katika system yao. Chonde chonde Voda nirudishieni fedha zangu siwezi kuvumilia kuona fedha yangu yote ile ipotee hivi hivi wakati nimevuja jasho la haki kuipata. NB: Sikukosea kuandika akaunti namba yangu, sasa iweje fedha isiingie kwa zaidi ya masaa 72??????
 
  • Je Mpesa kwenda benki gani? Tujuze ili tuchukue tahadhali mapema
  • Ni kweli hawa voda wakati mwingi huwa wanashida.
  • Ushauri: Kwa tatizo lolote linalohusiana na hii huduma *150*00# (au *150#), Namba yakupiga ni 15366 ; Utasikilizwa na kupewa ufafanuzi pamoja na msaada unao stahili. Hivyo kwa case yako piga hii namba watakupa ufumbuzi.
Karibu
 
Back
Top Bottom