Shukrani sana kwa ushauri wakoKwanini usiende kwenye hivyo vituo ulivyopandia Daladala na kushukia ili uonane nao wewe mwenyewe hao Makonda/Madereva? Hiyo ndio njia rahisi zaidi kwa kuanzia,au nenda kituo chochote cha Polisi eneo hilo huenda Kadi zako zilisalimishwa huko.
Ulipotezea hizo kadi JF?Nimeanzia hapa kwanza,weeknd nategemea kwenda tena hapo mbezi
Jinsia yako tafadhaliDaladala za kule hazitoi tiketi,
Usipande daladala losilotoa tiketi. Ni hatari kwa usalama wako na mali zakoDaladala za kule hazitoi tiketi,