Nimepoteza kadi mbili ndani ya daladala za Mbezi/Makabe

Juma. Hili tukio umeliripoti polisi? Wezi wasije kuiba magari na kuilengesha leseni ndani ya gari baada ya kufanya uhalifu.
Muache mtoto wa watu asije akaanza kujiharishia kwa uoga teh teh teh.

Cheki tu akili zake badala ya kwenda alikopotezea vitu amekuja jf kkkkkk!
 
Usipande daladala losilotoa tiketi. Ni hatari kwa usalama wako na mali zako
Daladala zote za Mbezi - Makabe hua hazina tiketi nahisi sababu kuu Latra bado hawajaitambua ile ruti
 
Ukipata Kadi zako ulete mrejesho humu ulizipata kwa njia gani ili na wengine wajifundishe.
 
Pole sana kaka ulipanda vile vipanya au yale makubwa ya mpiji? Kama unaweza ni vyema ukaenda mbezi pale ukaulize unaweza pata msaada.
 
Usipande daladala losilotoa tiketi. Ni hatari kwa usalama wako na mali zako
Kwa nature ya maisha yetu hilo suala naona kama nigumu sana, haliwezekani.kikubwa nikua makini zaidi na mali zako unapokua kwenye usafiri wa jumuia.
 
Daladala zote za Mbezi - Makabe hua hazina tiketi nahisi sababu kuu Latra bado hawajaitambua ile ruti
Latra hawaitambui??? Yale maneno Mbezi / Makabe yameandikwa kwa ruksa yako?
Mwanzo wa matatizo yako ni KUHISI.
Usipende kuhisi. Hata hiyo leseni na kadi unaHISI uliipotezea huko.
 
Pole sana kaka ulipanda vile vipanya au yale makubwa ya mpiji? Kama unaweza ni vyema ukaenda mbezi pale ukaulize unaweza pata msaada.
Ni vile vipanya,shukrani sana ushauri wako wa busara
 
Action ya kwanza ni kwenda polisi kuripoti.

Ya pili ni kwenda hapo kituoni na kuulizia.

Au nitumie 20K nikufanyie hiyo kazi
 
Sasa mie naomba unifanyie huo mchakato wa kuniulizia ukivipata elfu 20 nakupatia bila hiyana,ondoa shaka kwenye hilo nakupatia kwa muda muafaka hela yako
 
Bavichwa akili zenu mnazijua wenyewe
 
Sasa mie naomba unifanyie huo mchakato wa kuniulizia ukivipata elfu 20 nakupatia bila hiyana,ondoa shaka kwenye hilo nakupatia kwa muda muafaka hela yako
Malipo anza na 60% au yote
 
Malipo anza na 60% au yote
Castro unajitafutia Segerea.
Kadi ya benki inajina la Juma na wewe Ni Castro. Atakayekupa hiyo kadi atafanya mchongo na polisi njaa ili wakusachi na wakukute na kadi na leseni ambayo sio yako. Hapo dau lao litaanzia milioni mbili Kama wafanyavyo wakikukuta umeuziwa simu na wajanja. Mtateremshana Hadi milioni otherwise wanakufungulia kesi ya kukutwa na kadi ya benki ya watu.
 
Si atawaonyesha tu hizi Comment zako kama ushahidi kua wewe ulidondosha hizo kadi? labda ziwe sio kwa jina la Juma.
 
Back
Top Bottom