Muache mtoto wa watu asije akaanza kujiharishia kwa uoga teh teh teh.Juma. Hili tukio umeliripoti polisi? Wezi wasije kuiba magari na kuilengesha leseni ndani ya gari baada ya kufanya uhalifu.
Mzee baba unakaa pande za mpiji!Pole sana kaka ulipanda vile vipanya au yale makubwa ya mpiji? Kama unaweza ni vyema ukaenda mbezi pale ukaulize unaweza pata msaada.
Kwa nature ya maisha yetu hilo suala naona kama nigumu sana, haliwezekani.kikubwa nikua makini zaidi na mali zako unapokua kwenye usafiri wa jumuia.Usipande daladala losilotoa tiketi. Ni hatari kwa usalama wako na mali zako
Latra hawaitambui??? Yale maneno Mbezi / Makabe yameandikwa kwa ruksa yako?Daladala zote za Mbezi - Makabe hua hazina tiketi nahisi sababu kuu Latra bado hawajaitambua ile ruti
Sasa mie naomba unifanyie huo mchakato wa kuniulizia ukivipata elfu 20 nakupatia bila hiyana,ondoa shaka kwenye hilo nakupatia kwa muda muafaka hela yakoAction ya kwanza ni kwenda polisi kuripoti.
Ya pili ni kwenda hapo kituoni na kuulizia.
Au nitumie 20K nikufanyie hiyo kazi
Aisee vijana siku hizi hopeless badala ya kurudi Happ fasta umekalia kuandika JF as if wote tunaishi Makabe
Bavichwa akili zenu mnazijua wenyeweSasa mie naomba unifanyie huo mchakato wa kuniulizia ukivipata elfu 20 nakupatia bila hiyana,ondoa shaka kwenye hilo nakupatia kwa muda muafaka hela yako
Malipo anza na 60% au yoteSasa mie naomba unifanyie huo mchakato wa kuniulizia ukivipata elfu 20 nakupatia bila hiyana,ondoa shaka kwenye hilo nakupatia kwa muda muafaka hela yako
Castro unajitafutia Segerea.Malipo anza na 60% au yote
Si atawaonyesha tu hizi Comment zako kama ushahidi kua wewe ulidondosha hizo kadi? labda ziwe sio kwa jina la Juma.Castro unajitafutia Segerea.
Kadi ya benki inajina la Juma na wewe Ni Castro. Atakayekupa hiyo kadi atafanya mchongo na polisi njaa ili wakusachi na wakukute na kadi na leseni ambayo sio yako. Hapo dau lao litaanzia milioni mbili Kama wafanyavyo wakikukuta umeuziwa simu na wajanja. Mtateremshana Hadi milioni otherwise wanakufungulia kesi ya kukutwa na kadi ya benki ya watu.