Mbona ni wazi tu.Nimepoteza kadi ya Benki, baada ya muda nikaanza kupokea SMS za miamala kwenye simu yangu. Hili jambo linawezekanaje?
Eleza vizuri hapa imekuwaje siri sio siriNani aliyekuambia namba za kutolea pesa ni za SIRI? ungejua wangapi wanazifahamu usingeziita za SIRI
Alichoandika Sisyphus ni kitu clearly kabisa yaani kipo wazi nashangaa post yake ni kama mods wamei-hide ila ni ukweli kinachoitwa namba za siri hakipo.Eleza vizuri hapa imekuwaje siri sio siri
Huu ufanyike kuwa uzi mkuu watu wajue wawe makini zaidWezi wa simu na porch kuna namna wapo connected na mawakala wa pesa mitaani na hawa mawakala wana watu wao inside kwenye mitandao hii tunayoiamini so mitandao ya simu sijui bank siyo wa kuwaamini hata kidogo.
Washenzi sana hawa watu!
Nakuwaga tu mvivu wa kuandika mkuu wakiweza mods wataiweka pinned pale juu au mtu akiweza ai-copy aifanye uzi haki zote nimetoa.Huu ufanyike kuwa uzi mkuu watu wajue wawe makini zaid
Kama maelezo yako ni sahihi, kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo halikusababishwa na kupotea kwa kadi peke yake. Kupotea kwa kadi na kuanza kwa miamala huenda ni matukio yaliyotokea kwa wakati mmoja lakini chanzo kikawa tofauti.Wakuu, habari za muda huu.
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na taharuki, lakini lengo langu ni kupata uelewa na maarifa kutoka kwenu wataalamu.
wakuu, ili mimi na wengine wanaoweza kukumbana na hili tujue jinsi ya kujilinda na jinsi mifumo yetu inavyofanya kazi.
Watafuta hao wajinga naona wana conflict of interestNakuwaga tu mvivu wa kuandika mkuu wakiweza mods wataiweka pinned pale juu au mtu akiweza ai-copy aifanye uzi haki zote nimetoa.