Nimepoteza kadi yangu ya pikipiki, nifanyeje?

Nimepoteza kadi yangu ya pikipiki, nifanyeje?

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,120
Reaction score
7,317
Wana JF,

Kwanza kabisa wasalam. Wakuu nna shida kadi yangu ya pikipiki imepotea kwenye mazingira ambavyo sikumbuki hata mara ya mwisho nilikua nayo wapi.

Pikipiki yenyewe nilinunua Kwa mtu hivyo jina pia sio langu lakini Kwa usalama zaidi naamini pamoja na hili ningekua nayo mkononi usalama wangu ungekua na unafuu hata endapo shida ya road ikitokea nisisumbuane sana na trafik officers.
natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom