Mtafutaji Asiyechoka
Member
- Feb 15, 2021
- 77
- 88
Wakuu habari zenu,
Nilikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]