OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Pole na kazi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama karume sakumi usiku chukia madundo makali na viatu vya watoto.kisha tembeza mitaaniAsante mkuu,
To be specific nilikuwa nafanya kazi ya ukusanyaji wa ushuru wa halmashauri na mkataba umeisha. Elimu yangu ni shahada ya Sayansi Akua na Uvuvi (Bsc. Aquatic sciences and fisheries) na ajira bado ni mtihani.
Elimu yangu kwa sasa sio ishu sana, ishu ni nini nifanye Ili nisurvive, nitazingatia ushauri wako kaka
Kwa kuongea Ni rahisi [emoji23][emoji23][emoji23]Zama karume sakumi usiku chukia madundo makali na viatu vya watoto.kisha tembeza mitaani
@Mtafutaji Asiyechoka +@genius mvivu = ....................
Nawaachia wengine waje kumalizia
Ila mkuu fuata ushauri wa genius mvivu apo nenda ukafuge wala usiogope ufugaji huo huo utakusaidia
Kikubwa Muombe Mungu akusaidie
Asante mkuu,
To be specific nilikuwa nafanya kazi ya ukusanyaji wa ushuru wa halmashauri na mkataba umeisha. Elimu yangu ni shahada ya Sayansi Akua na Uvuvi (Bsc. Aquatic sciences and fisheries) na ajira bado ni mtihani.
Elimu yangu kwa sasa sio ishu sana, ishu ni nini nifanye Ili nisurvive, nitazingatia ushauri wako kaka
Kwa kuongea Ni rahisi
[emoji2![]()
Uvivu ,ujinga,ulofa,ufala,uzembe,uchekibobu,usisterduu.mwisho wa siku ni kuzibuliwa mitaro...sasa upo hivi aende karume sakumi na nusu usiku.yeye asigonbania kwa sababu hajui namba ya kununua na nimgeni.aende kwa mapointer watamuuzia Ila Bei zimechangamka.kiatu Cha mtoto kwa pointers achukue kuanzia 7000 hadi 14000.Kwa kuongea Ni rahisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Welcome to the world.Wakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
Nakuja mkuuNjo o safri Hadi hapa bambalaga ddm utanikuta nikupe kazi hapo Walter Reed
Sasa akianza kufuga na hiyo hela ambayo pia anaitegemea kwa mahitaji na hawezi kupata faida siku hiyo hiyo. Atafanyaje?@Mtafutaji Asiyechoka +@genius mvivu = ....................
Nawaachia wengine waje kumalizia
Ila mkuu fuata ushauri wa genius mvivu apo nenda ukafuge wala usiogope ufugaji huo huo utakusaidia
Kikubwa Muombe Mungu akusaidie
Kimsingi kazi ni mbegu...Wakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
Umeshafanya kosa, usijaribu kufanya kosa tena.Asante mkuu,
To be specific nilikuwa nafanya kazi ya ukusanyaji wa ushuru wa halmashauri na mkataba umeisha. Elimu yangu ni shahada ya Sayansi Akua na Uvuvi (Bsc. Aquatic sciences and fisheries) na ajira bado ni mtihani.
Elimu yangu kwa sasa sio ishu sana, ishu ni nini nifanye Ili nisurvive, nitazingatia ushauri wako kaka
Kama utani ila hii comment ina maana kubwaAsubuhi yote hii umekuja kutudhihaki majobless, mihela yote hiyo.
Una familia? (mke, watoto)
Upo mkoa gan mkuu Ili nikupe ushauri mzuri