Mtafutaji Asiyechoka
Member
- Feb 15, 2021
- 77
- 88
Oa kwanza.Wakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
M mwenyew niko Mkuranga Pwani njoo tuwekeze kwenye ufugaji utakuj kunishukuru nina banda la kutosha kufugia kuku wa kienyeji na mabroilerWakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
Je una familia? Kama ni ndio, kaa chini na mkeo akupe mahitaji ya chakula kwa wiki, then fanya hesabu kwa mwezi. Nunua baadhi ya vyakula weka ndani, kiasi kinachobakia ndio anza ku_plan nini ufanye, ila hakikisha mchakula kinakuwepo.Nipo stuck sijui nianzie wapi!
@Mtafutaji Asiyechoka +@genius mvivu = ....................M mwenyew niko mkuranga pwani njoo tuwekeze kwenye ufugaji utakuj kunishukuru nina banda la kutosha kufugia kuku wa kienyeji na mabroiler
Tuchati inbox mkuuM mwenyew niko mkuranga pwani njoo tuwekeze kwenye ufugaji utakuj kunishukuru nina banda la kutosha kufugia kuku wa kienyeji na mabroiler
Usije tu kumtapeli mwenzako 😁😁M mwenyew niko mkuranga pwani njoo tuwekeze kwenye ufugaji utakuj kunishukuru nina banda la kutosha kufugia kuku wa kienyeji na mabroiler
Sikushauri akiba yako ndogo ya mwisho kwenda kuanzia biashara ya kufuga.Tuchati inbox mkuu
Wakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
M mwenyew niko mkuranga pwani njoo tuwekeze kwenye ufugaji utakuj kunishukuru nina banda la kutosha kufugia kuku wa kienyeji na mabroiler
Ndugu hii mada ni pasua kichwa maana kwa pesa hiyo ukiingiza kwenye mtaji ni rahisi sana kuipoteza na kubaki mtupu wakati huo familia inataka chakula.Wakuu habari zenu, nlikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena.
Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5 niliyosave, Nipo stuck sijui nianzie wapi!
Nipo Mkuranga, Pwani.
Naombeni ushauri wakuu[emoji120]
TakatakaIlete bar tusinywe pombe tununue konyagi tu itie chini ya pua
Asante mkuu,Ndugu hii mada ni pasua kichwa maana kwa pesa hiyo ukiingiza kwenye mtaji ni rahisi sana kuipoteza na kubaki mtupu wakati huo familia inataka chakula.
euzageuza na kubadilikabadilika wala hautapaniki.
Kila la heri.