Nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

Nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

Fred Kingo

Member
Joined
Sep 7, 2015
Posts
33
Reaction score
1
samani wana jamii...nimepitelewa na kadi ya bima ya taiga ya afya..
msaada kwa anayejua namba na hatua za kupata nyingine... Nwasilisha kwenu karibu ni kwa msaada
 
Toa ripoti polisi wakuandikie loss report, nenda na loss report kituo chochote cha bima ya afya watakupatia fomu za kujaza na kulipia Tshs 20,000 bank. Watakutengenezea kadi nyingine
 
Back
Top Bottom