Hunteroflove
Senior Member
- Sep 18, 2014
- 126
- 92
Kama mada inavojieleza hapo nimepoteza Receipt ya fees Ya chuo yaani baada ya kulipa bank kwa account ya chuo unaenda kupeleka receipt chouni ya bank na sikuwahi kuitoa copy hivi nikienda bank wanaweza kunisaidiaje kwa tatizo hili
Chuoni kwenyewe ukiomba wakusaidie wataiona kwenye bank statementUtasaidiwa ndio ila kuna fee nadhani kwa CRDB utalipia kama nakumbuka vizuri. Cha msingi ukumbuke tu tawi ulipo lipia na tarehe pia, at least ukumbuke mwezi.