Nimepoteza receipt ya chuo nisaidieni kwa hili

Hunteroflove

Senior Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
126
Reaction score
92
Kama mada inavojieleza hapo nimepoteza Receipt ya fees Ya chuo yaani baada ya kulipa bank kwa account ya chuo unaenda kupeleka receipt chouni ya bank na sikuwahi kuitoa copy hivi nikienda bank wanaweza kunisaidiaje kwa tatizo hili
 
Utasaidiwa ndio ila kuna fee nadhani kwa CRDB utalipia kama nakumbuka vizuri. Cha msingi ukumbuke tu tawi ulipo lipia na tarehe pia, at least ukumbuke mwezi.
 
Chuoni kwenyewe ukiomba wakusaidie wataiona kwenye bank statement
 
kuna kiasi Fulani unalipia unatakiwa ukumbuke tawi na kiasi ulicholipia na tarehe utapewa copy ya bank statement.
 
Back
Top Bottom