Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje kwenye usajili au nifanyeje??....msaada wakuu nimekwama.
mtani hio imetokea lini! Kuhusu result slip haina shida kivile nenda police katoe taarifa then nenda net kaptrint tokeo lako then kagonge muhuri wa commisioner of oaths(kiapo) then unaenda nacho chuo ciku ya registration
Makao yao makuu yapo kawe sehemu gani hivi??
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje kwenye usajili au nifanyeje??....msaada wakuu nimekwama.
mimi sina slip ila nina cheti original kutakuwa na tatizo
Cha form 6 tu
Kwani na cha form 4 kinahitajika jamani? mi sina kiliungua shule!