Nimepoteza result slip....itakuwaje???

Nimepoteza result slip....itakuwaje???

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
649
Reaction score
90
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje kwenye usajili au nifanyeje??....msaada wakuu nimekwama.
 
Kwa ninavyojua kile sio cheti unaweza kwenda polisi ukapewa lose report ukaenda baraza ukapewa nyingine usijali dogo langu ingekuwa cheti ndo kungekuwa na ugumu.
 
mtani hio imetokea lini! Kuhusu result slip haina shida kivile nenda police katoe taarifa then nenda net kaptrint tokeo lako then kagonge muhuri wa commisioner of oaths(kiapo) then unaenda nacho chuo ciku ya registration
 
jitahidi uende necta fasta kwa sababu bila ya hio kitu utasumbuliwa kwenye registration
 
Kwa ninavyojua kile sio cheti unaweza kwenda polisi ukapewa lose report ukaenda baraza ukapewa nyingine usijali dogo langu ingekuwa cheti ndo kungekuwa na ugumu.

Daaagh asante kaka mkuu
 
mtani hio imetokea lini! Kuhusu result slip haina shida kivile nenda police katoe taarifa then nenda net kaptrint tokeo lako then kagonge muhuri wa commisioner of oaths(kiapo) then unaenda nacho chuo ciku ya registration

Mtani cheti nimeletewa ijumaa na ochu bway nashangaa hakipo ndani na nimetafuta kote.....nitajaribu kuwasiliana na uongozi wa chuo haraka iwezekanavyo wanipe mwongozo
 
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje kwenye usajili au nifanyeje??....msaada wakuu nimekwama.

Kwani na cha form 4 kinahitajika jamani? mi sina kiliungua shule!
 
vyeti vyote lazima uende navyo ili uweze kufanya usajili jitahidi utoe taarifa mapema necta ili waweze kutuma statement of results mapema kabla hujaenda kuripoti ili ukifika usipate usumbufu.
 
Back
Top Bottom