utapata cha kuzaliwa hivyo vingine sahau.fanya process za kuripoti polisi,kutoa matangazo kwenye gazeti la serikali ukaestandby kwa kila anaehitaji cheti chako unaambatanisha nakala za hivyo vitu(tangazo gazetini na ripoti ya polisi) pamoja na fee itakayohitajika na fomu utajaza unapeleka mamlaka husika kama ni necta au tcu watatuma taarifa za matokeo yako sehemu zinapo hitajika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.