Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hivi wanawake mna shida gani lakini.
Leo nimeenda kula chakula kwa dada mmoja hivi yupo mwembechai msikitini, tunajuana fika na nimemsaidia pesa nyingi tu zaidi ya elfu 30 tena bure kabisa japo anakujaga kwa gia ya kukopa, ajabu zaidi nimewahi kupata utelezi japo kwa kumpa pesa maana mkono mtupu haulambwi, hivyo akiwa na shida ya pesa ndogondogo huwa Nampa akishindwa kulipa namtafuna.
Sasa Leo nimeenda bhana, nikamwambia mapema kabisa kuwa sorry nina 1800 kesho nitakupa 200 yako, halooo kakataa katakata akidai hataki mazoea kwenye biashara, hataki kujuana kwenye biashara tena anaongea kwa sauti kubwa akisema nikae mbali na biashara yake hataki dharau, mimi nikaona huyu ana lake tu la moyoni, ashukuriwe Mungu penye wanaume hapashindikani kitu, jamaa mmoja alikuwa anakula akasema mpe huyo kaka chakula pesa nitalipa mimi.
Akapakua chakula nikala kwa mgongo wa huyo broo, ila najiuliza hawa wanawake shida nini jamani, mbona sisi tunawapa sana pesa zetu.
Nimeamini jamaa mmoja alisema unaweza kumpa mwanamke laki mbili ndani ya dk 2 ukamwomba buku tu kwenye Ile pesa ulompa na usipewe akasingizia hana keshaitumia japo anayo zaidi ya hiyo kwenye mkoba.