Nimepungukiwa 200 tu, kakataa kuniuzia chakula

Nimepungukiwa 200 tu, kakataa kuniuzia chakula

Nilishajifunza kusaidia wanaume, hata hatokusaidia wewe ila atasaidia wanaume wengine kama alivyofanua huyo mshikaji.

Wanaume ni watafutaji, wanajua kuna kukosa.

Napiga mbusus kwa pesa zikiwepo, sitaki urafiki nao.

Key word: saidia wanaume.
 
Kabisa mkuu afu nimechunguza wanaume hatunaga noma, kuona mshikaj mwenzako anaumbuka nilazima umnasue
 
Sasa nimelewa kuwa watu wanastahili kupuuzwa,huna maana na ni dhahiri kuwa wewe ni mpuuzi tu.Ulipoandika uzi mreeeeefu kuwaponda walimu nilidhani una maisha mazuri kuwazidi,Kumbe zile zilikuwa tu stress za kushindwa maisha.Pole aisee
Nahitaji hata watu Mia wa kunipuuza nione madhara yake, ili nijifunze
 
Nilishajifunza kusaidia wanaume, hata hatokusaidia wewe ila atasaidia wanaume wengine kama alivyofanua huyo mshikaji.

Wanaume ni watafutaji, wanajua kuna kukosa.

Napiga mbusus kwa pesa zikiwepo, sitaki urafiki nao.

Key word: saidia wanaume.
Huna marafiki wa kike? Hutaki mazoea nao hata kanisani kwako au msikitini unakoswali? Duh! So huna kabisa marafiki wasichana hata wa kubadilishana mawazo na hata kutaniana kidogo?
 
Hivi wanawake mna shida gani lakini. Leo nimeenda kula chakula kwa dada mmoja hivi yupo mwembechai msikitini, tunajuana fika na nimemsaidia pesa nyingi tu zaidi ya elfu 30 tena bure kabisa japo anakujaga kwa gia ya kukopa, ajabu zaidi nimewahi kupata utelezi japo kwa kumpa pesa maana mkono mtupu haulambwi, hivyo akiwa na shida ya pesa ndogondogo huwa Nampa akishindwa kulipa namtafuna.

Sasa Leo nimeenda bhana, nikamwambia mapema kabisa kuwa sorry nina 1800 kesho nitakupa 200 yako, halooo kakataa katakata akidai hataki mazoea kwenye biashara, hataki kujuana kwenye biashara tena anaongea kwa sauti kubwa akisema nikae mbali na biashara yake hataki dharau, mimi nikaona huyu ana lake tu la moyoni, ashukuriwe Mungu penye wanaume hapashindikani kitu, jamaa mmoja alikuwa anakula akasema mpe huyo kaka chakula pesa nitalipa mimi.

Akapakua chakula nikala kwa mgongo wa huyo broo, ila najiuliza hawa wanawake shida nini jamani, mbona sisi tunawapa sana pesa zetu. Nimeamini jamaa mmoja alisema unaweza kumpa mwanamke laki mbili ndani ya dk 2 ukamwomba buku tu kwenye Ile pesa ulompa na usipewe akasingizia hana keshaitumia japo anayo zaidi ya hiyo kwenye mkoba.
Mkuu kwa maelezo yako hujawahi kumsaidia pesa bure. Ulikua ukimkopesha kuna wakati alilipa pesa na kuna wakati alilipa utupu wake. Hapo haujamkopesha. Wewe safari hii ndio ulitaka huduma kwa mkopo wa 200 ambao kwa kuwaza kwake aliona ukishindwa kulipa hawezi kukulipisha kwa utupu ndio maana alikataa.
 
Sasa Leo nimeenda bhana, nikamwambia mapema kabisa kuwa sorry nina 1800 kesho nitakupa 200 yako, halooo kakataa katakata akidai hataki mazoea kwenye biashara, hataki kujuana kwenye biashara tena anaongea kwa sauti kubwa akisema nikae mbali na biashara yake hataki dharau, mimi nikaona huyu ana lake tu la moyoni, ashukuriwe Mungu penye wanaume hapashindikani kitu, jamaa mmoja alikuwa anakula akasema mpe huyo kaka chakula pesa nitalipa mimi.
🤣🤣🤣bishara imekuwa ngumu sana.
 
Back
Top Bottom