Nimepungukiwa na damu mwilini

Nimepungukiwa na damu mwilini

Duh, mjamzito yeyote! Wajawazito wanazo dawa kumbe ngoja nimvizie mmoja hapa barabarani ambaye yupo peke yake .
Yeah.. Wajawazito huwa wanapewa hivi vidonge clinic buree.. So ni rahisi kuwa navyo.
 
Yaani Bitruti ndani ya siku nne kapime utaona inavyorudisha haraka
 
Tumia dawa hizi pnatal 1×2×30/7 or caps ferotone one caps bid ×2/12
 
Tumia dawa hizi pnatal 1×2×30/7 or caps ferotone one caps bid ×2/12
Mtaalamu uko nje ya ethics, sio tu kwakua unajua ku-prescribe basi una prescribe, kwa case kama hii lazima ufate guidelines bwana, ungemshauri akupe majibu ya maabara au akuekezee dalili anazohisi.
 
Tafuta beetroot uisage afu unywe juice yake
924d51ecbfd79f8a730f7c53f06d604b.jpg
 
Kwanza wali kwambia una upungufu wa damu Anemia iko ngap? Normal range ni 12> Chini ya hapo kinakuwa na stage za anemia kama severe & mild ina tegemeana na aina ulio nayo ndo upewe treatment kama iko below 7 unaweza fanyiwa Blood transfusion kama iko below 8-10 unapewa dawa zaku pandisha kiwango cha damu depend na HB LEVEL

Wengi wana kushaur ule mboga mboga ni sawa lakn ata ukila mbogaboga zote duniani yaweza isiwe sababu yaku epuka ANEMIA kwani ziko zingine nizaku zaliwa kama sickle cells, HB crstals, tear drops, na nyngine nyngi zaidi ya 30 huko. Ivyo basi na jambo la muhimu kujua una aina gani ya Anemia kabla ya kutibu.

Matibabu: kwa wajawazito wanaweza kitumia
ferrous sulphate, folic acid na ata Hemovit syrup,

Kama ikiwa severe dawa niku ongezewa damu dalama.
 
Back
Top Bottom