Kwanza wali kwambia una upungufu wa damu Anemia iko ngap? Normal range ni 12> Chini ya hapo kinakuwa na stage za anemia kama severe & mild ina tegemeana na aina ulio nayo ndo upewe treatment kama iko below 7 unaweza fanyiwa Blood transfusion kama iko below 8-10 unapewa dawa zaku pandisha kiwango cha damu depend na HB LEVEL
Wengi wana kushaur ule mboga mboga ni sawa lakn ata ukila mbogaboga zote duniani yaweza isiwe sababu yaku epuka ANEMIA kwani ziko zingine nizaku zaliwa kama sickle cells, HB crstals, tear drops, na nyngine nyngi zaidi ya 30 huko. Ivyo basi na jambo la muhimu kujua una aina gani ya Anemia kabla ya kutibu.
Matibabu: kwa wajawazito wanaweza kitumia ferrous sulphate, folic acid na ata Hemovit syrup,
Kama ikiwa severe dawa niku ongezewa damu dalama.