Nimerejea kundini

Nimerejea kundini

Habari wana jukwaa, baada ya kuwa nje kwa mda mrefu sasa nmerejea kwa nguvu na ari.
Ni mdau sana wa JF japo huko nyuma sikuwaga mchangiaji sana ila nilikuwa msomaji mkubwa na nmejifunza mengi sana humu shukrani kwa wote mnaotoaga mawazo na michango yenu, nakumbuka toka nmejiunga 2013 nlikua sina simu janja, hivyo nilitumia JF kwa miaka miwili kasoro hivyo nikawa nipo nje ya JF kwa miaka kadhaa ila kwasasa NIMEREJEA KUNDINI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok welcome again"
 
OK welcome

MPIGA CHABO WEYE.
 
Back
Top Bottom