Mingi tu mkuu. Hakujenga barabara peke yake kajenga madaraja makubwa kama lile la Busisi.Interchange ilikuwa ya Kikwete, na hela ilishatoka ikabidi ajibaraguze humohumo, na hiyo barabara ilikuwa ya Kikwete pia, Taja mradi ambao aliuanzisha na ukaisha ndani ya miaka mi5 yake ya kwanza....
La Busisi limeisha? Angekuwa Magu angelitupilia mbali huko, all in all tupambane nchi yetu isonge mbele!! Tukisema huyu alifanya hiki na yule alifanya kile hiyo ligi haiwezi kuisha!!Mingi tu mkuu. Hakujenga barabara peke yake kajenga madaraja makubwa kama lile la Busisi.
Inabidi uniambie tofauti ya Kikwete na Magufuli wakiwa wanatekeleza ilani moja CCM, ubinafsi na chuki zetu zinatufanya tushindwe kuuelewa ukweli huo. Ni sawa umtofautishe Mama Samia na JPM wakati wanatekeleza ilani ile ile ya chama kile kile.
Hakika wewe ni popoma maandazi kutoka Rwanda, jingaman weweHayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii (Mwezi Oktoba 2021) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Tanzania imeondokewa na jini makata,limekuja jini mahaba la kike, nchi ina nuksi hii....Tanzania tumeondokewa na Mkombozi.
Yaani hilo takataka la Chato unaita Almasi? Shwaini kabisa weweTunawaambia siku zote magu mtamkumbuka tu
Ni vigumu kupatikana almas kama hiyo
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Wanafiki kama mamako.Watanzania kwa unafiki mmeshindikana dunia nzimaa [emoji1787][emoji1787]
kwamba mtu anaweza kuendelea alafu hana kitu dahMtu ametawala miaka mitano tu lkn tuliona nchi ikibadilika ki maendeleo hasa kwenye miundo mbinu........
CDM walivyokuwa wanafiki eti wanakwambia tunataka maendeleo ya watu sio vitu.......maendelea ya watu utapataje bila maendeleo ya vitu!!??
Wewe fala kweli kweli,kwa hiyo Magufuli alikuwa mwema? Tanzania ina watu wenye laana kubwa Kama wewe,Sabaya alifugwa na nani? Kuna Rais aliyeibia nchi Kama Magufuli?Kama ulikuwa na tabia za wizi,utapeli na kuishi kwa ujanja ujanja mjini hakuna jema la Hayati JPM utakaloliona.
Ulikuwa unamwabudu kumbe? Haya hamia Chato kwenye kaburi lake kabisa,ukaweke na godoro juu ya kaburi lake uwe unalala hapo, kwanini hukuomba uzikwe naye?Pole sana mkuu, Binafsi Magufuli naamini ndiye Rais bora ambae aliiwaza Tanzannia ya miaka 2050, Magufuli alikuwa kiongozi sema Watanzania wengi wanataka wanasiasa.
Hii picha hapa chini iko ndani kwangu tena chumbani kwangu!
View attachment 1991351
Ni kweli huwa inachukua miaka mingi kumpata Shetani Dizaini hiyoItachukua miaka mingi kumpata kama JPM.
Lete takwimu zinazoonyesha wizi wa kila Rais na sio kuropoka ropoka tu hapa!Wewe fala kweli kweli,kwa hiyo Magufuli alikuwa mwema? Tanzania ina watu wenye laana kubwa Kama wewe,Sabaya alifugwa na nani? Kuna Rais aliyeibia nchi Kama Magufuli?
Mijitu ya hovyo sana nyie
Lamba ndimu, akili ikukae sawa ndo uje kuandikaUlikuwa unamwabudu kumbe? Haya hamia Chato kwenye kaburi lake kabisa,ukaweke na godoro juu ya kaburi lake uwe unalala hapo, kwanini hukuomba uzikwe naye?
Huwezi kubadilisha legacy ya Magufuli kwa hizi propaganda zako za kinafiki zilizotengenezwa kwa chuki kwa kugeuza ukweli kuwa uwongoKwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.
Halafu unakuta mtu Kama wewe eti ni University graduate, yaani Elimu imekufa inatoa vijana mabazazi tupu.Tangu mwaka uanze nahisi huu ni uzi wako wa maana kuliko zote.
Anyway binafsi jpm nillikuwa namkubali kawaida tu hasa nikiwa sehemu ya changanyikeni kama humu, nilikuwa simchukii kama wengine, kuna vitu alikuwa akifanya nasema huyu kweli rais hata kama sisem ila moyoni nasema hili jembe.
Siku niliposikia habari za kifo chake trh 9 nilisikia maumivu ambayo sikujua yametoka wapi.
Miliogopa hata kumwambia mtu yeyote maana alienihakikishia kafa alinitaka nifunge mdomo wangu.
Nilikuwa nikiingia humu nakuta watu wanachangia nyuzi kibao eti jpm yupo wapi na mimi najilazimisha kuchangia as if sijui kinachoendekea.
Pili moyo haukuamini nilichoambiwa nikawa akisemea ' huyu mbwa nae mwongo jpm atakufaje kizembe hivi?
Siku moja nikataka kumwambia mama yangu moyo ukasema hapana yupo hai yule fala mzushi.
Trh 17 usiku nikaota eti kafa nikastuka usingizini nikajisemea hapana ni nawazo yaliyo kichwani mwangu coz nishapewa hiyo habari wiki moja kabla.
Niliamka nikapiga magoti nikasali mikasema hii ndoto isiwe kweli, nikaingia jf nikakuta mtu kapost eti kwa nini wasitangaze tu rais kashakufa kha! Ndo niliamini yale maneno.
Baada ya kutangaza nilipata maumivu ambayo sikujua yametoka wapi, maana niliona Tanzania ambayo jpm alikuwa akiitengeneza ikiyeyuka.
Niliona ujinga ukirudi kwa kasi, wizi, miradi yake ikifa, nidham ya watumishi ikirudi 0, ufisadi nje nje , majambazi wakirudi kwa kazi, unyanyasaji wa wanyonge, viongozi kula mishahara ya bure,kupewa kazi kwa kujuana, vyeti feki,
Nikaona lile genge sugu la majambazi wanaotesa nchi wakifurahia kifo chake, nililia sana nikasema Mungu alitupa malaika ila wengi tulichukulia poa.
Huko ulipo jpm ulale salama, hakuna siku imepita bila kukukumbuka. Binafsi nimekumiss sana.
Rip jpm.
Ila hadi hajibu majibu ya kuindoa ccm ambayo ndio chanzo cha matatizo karibu yote hayo.Masikitiko ya watu zaidi ya mil 50 mungu aliyasikia na akajibu kwa mda wake sasa endelea kupoteza bando kwa kufanya ibada za wafu
kamuulize yule mama kipofu aliyedhulumiwa au yule mama aliyepewa bajaji kumsaidia, sisi tukisema utatuona waongoChief unamlilia kwa lipi huyo jamaa yako? Unaweza hata kuorodhesha mawili matatu
Usilazimishe ujinga kuwa ukweli, Magufuli alikuwa muuaji tuHuwezi kubadilisha legacy ya Magufuli kwa hizi propaganda zako za kinafiki zilizotengenezwa kwa chuki kwa kugeuza ukweli kuwa uwongo
Ni kwasababu ni WAKRISTO a.k.a (RC) lazima uwasifia kwa njia yoyote na hiyo ndio mlivyo fundishwa na mnaendelea kufundishwa na hiyo ndio utaratibu wa (RC) unajulikana hapa TANZANIA.Kwangu Mimi Marais wazuri, makini, werevu na Wachapakazi niliowahi kuwapenda na nawalilia sana na 24/7 ni Watatu tu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Dkt. Magufuli wengine walijitahidi / wanajitahidi ila waliharibu na wanaharibu zaidi.