Alikua waukweli sana kwenye kuua watu na kuwafunga magerezaniMagufuli alikuwa Rais wa ukweli sana.
Nani alimuombea mwenzake kifo kikatimia?Sasa kama Mungu alimuondoa Magufuli kutokana na maombi ya watu iweje asiondoe na ccm ambayo chanzo cha matatizo yote hata huyo Magufuli kapatikana kwa sababu ya ccm?
Kabla ya Magufuli watu wamekuwa wakiomba ccm ing'oke ila hadi leo ipo.
SijakuelewaNani alimuombea mwenzake kifo kikatimia?
Huo umuhimu wa kipumbavu ndio unaoutufanya tumuone magufuli alikuwa mshenzi tuu.sasa hakutaka siasa za vyama vingi si wangetoa kwenye katiba?Sasa yanipendeze kwa lipi? muhimu hapa ni kwamba kwenye kila utawala lazima tu kuna watu watashughulikiwa kama akina Ulimboka na Lissu.
Watu walivyokuwa wanasema magu kauliwa si ulimsikia mama alivyosema.Kuna ukakasi, Ben Mkapa, Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mahiga inner cycle yote.
Sera ya wasaidizi wake wa karibu, kuponda kila kitu, kumtukana,kumdhalilisha na kuonyesha kwamba kila kitu alichofanya kilikuwa kibaya inashangaza wakati walikuwa na kuamua pamoja.
Hata mimiNinatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Mama kaondoka na bamkubwa katuacha ndomanaKwani nini kimetokea jamani???si tulifunga mjadala humu kwamba alikuwa dikiteta!¡!!
Imekuwaje tena
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1991339
Mipango yaanzia mbali kwa wale wote waloonekana wakwamishaji.Kuna ukakasi, Ben Mkapa, Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mahiga inner cycle yote.
Sera ya wasaidizi wake wa karibu, kuponda kila kitu, kumtukana,kumdhalilisha na kuonyesha kwamba kila kitu alichofanya kilikuwa kibaya inashangaza wakati walikuwa na kuamua pamoja.
Hao wote uliowataja corona ndio imewaondoa msitafute mchawi
Watu walivyokuwa wanasema magu kauliwa si ulimsikia mama alivyosema.
Madevu ni mzee wa sawa sawa auMipango yaanzia mbali kwa wale wote waloonekana wakwamishaji.
1. Nkuruzinza ilikuwa onyo.
2. Mkapa asingependa kuona JPM hafiki 2025, hivyo alikuwa kikwazo kwao.
3. Mahiga mshauri mzuri tu wa foreign policy na namna ya kuiongelea
4. Kijazi mpangaji mipango na michoro yote ya miundombinu na JPM akasema huko nje walikataa kutoa ushauri wa kitaalam.
5. Na wengine wa karibu zaidi pale mjengoni.
6. Mzee Madevu akamaliza mchezo baada ya kuona chuma kimekaza hakitaki mipango ile ya kudungwa.
Yeye alikwea pipa kabisa kwenda kulekule eneo la tukio.
7. Mfugale alikuwa ana plan yote ya miundombinu ya nchi hii na alianza kukataa kutoa ushirikiano, hivyo akatangulizwa.
8. Tshekedi mwanzo alisita lakini kama ninyi vijana ni wafuatiliaji basi jikumbushe kisanga kilichotokea baada ya yeye kukataa mpango.
Baadae Tshekedi akasalimu amri na akarudi kwenye mpango na leo wacongo wengi ni nguruwe wa majaribio.
9. M7 yeye akasema umri umeenda hivyo he has nothing to lose akakubali kupokea mpango.
Hii mipango ina kamba ndefu zinazotokea mbali na remote control zote wamegawiwa akina Abdalah Salum pale Kisiju Pwani.
10. PK hana shida ila alitaka kutoa msaada lakini akasita na hata hakuja kwenye maziko kwa kuhofia yale yalotokea mwaka....... pale ........
Hivyo ndovyo hali halisi ilivyo ndugu zangu, ila tunaojitambua tunawasikitikia watanzania walo na maisha ya chini.
Wao ndo watokamuliwa mpaka ifike wakati walie kwa yowe ya ajabu.
The best of all, ametuletea maendeleo sana Watanzania.Alikua waukweli sana kwenye kuua watu na kuwafunga magerezani
Hata tulioichukia CCM kwa dhati alibadili kabisa fikra zetu. Pamoja na mapungufu ya ubabe wa kupitiliza lakini nchi ilifikia hatua ya kuhitaji ubabe ule. Rest in peace JPM!Kama ulikuwa na tabia za wizi,utapeli na kuishi kwa ujanja ujanja mjini hakuna jema la Hayati JPM utakaloliona.
Kwamba Mungu alimuondoa Magufuli kwa maombi ya watu?Sijakuelewa
Mimi nipo siku nyingi hapa, tulipiga sana kelele kwamba nchi hii inahitaji raisi Dikteta na kwamba JK alikuwa raisi dhaifu.Hata tulioichukia CCM kwa dhati alibadili kabisa fikra zetu. Pamoja na mapungufu ya ubabe wa kupitiliza lakini nchi ilifikia hatua ya kuhitaji ubabe ule. Rest in peace JPM!