Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Mazuri yapi? Mbona so far sijaona kizuri cha kumkumbuka? Kama ni afya mama ameshamuoutshine,elimu naaji ndio usiseme,ajira ndio kabisaa, uchumi mambo ni poa ..

Unless umerogwa ndio unaweza mkumbuka Dhalimu.
Well said-"Unless umerogwa ndio unaweza mkumbuka Dhalimu."
 
Ndio anakwambia mwenzako ilikua mihemko. Sasa anakubali jpm ilikua ni tukio jema kwa tanzania[emoji124][emoji124]
Raha ya sisi binadamu ndio hii sasa,,tunakumbuka mtu akishaondoka [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yule ni mwamba salute kwake
 
Nlitofautiana na mwendazake katika nkushindwa kuongeza mishahara kwa miaka yake yote aliyokaa madarakani..kwa Hilo hata aje Nani,.amtetee namna gan lakini sitoweza kumuelewa

Unaangalia pia inflation ndugu. Mshahara umeongezwa kwa asilimia moja mbili, bei za vitu asillimia tatu, nne.

Kiuhalisia you lose. Muhimu kuwapa mishahara stahiki watumishi wote wa umma, muhimu zaidi ku-dhibiti mfumuko wa bei ( inflation) ila pesa itumike, iweze kununua matumizi mengi.
 
Chuma ametuaMsha ,tuliozani hayawezekani ,Sasa yanawezekana,JPM lala Kwa amani

JPM aliwaaminisha wengi na kuwaambia wengi kila kitu kinawezekana. Ni mipango, kujipanga, vipaumbele sahihi, kujiamini.

Kutembea kifua mbele, kutumia rasilimali zetu vizuri. Tusijiite maskini, sisi ni matajiri sana. Donor country, sisi ni donor country (Afrika) ingawa hatujui hivyo.

Uwezo wetu wa kufikiri, kujipanga, kujiamini, kutekeleza ndio unatukwamisha.

Alitaka kutuvusha kwenda kwenye next level of thinking. Alikwamishwa, ameondolewa, ameondoka. Ila legacy yake haifutiki.
 
You might be right but I've never killed anybody or ordered anyone killed or even did anything that may warrant such condemnation.
You have never been a leader i guess.

So jeshi, Army (carrying arms, vifaa vya kivita) unafikiri kazi yake ni nini?

Sera zako zinaweza kuwaua wengi sana, wakulima, maskini,vijana.

Police, (policing) kutekeleza majukumu ya serikali kazi yao ni ipi? Usalama wa Taifa jukumu lao ni lipi?

Sio wewe binafsi utaua watu, but through organs you control you can kill hundreds kimya kimya.

Sometimes you have do neccesity kuwaokoa wengi.

Ni uongozi gani haujafanya hivyo kwenye historia ya dunia?
 
Kwenye msafara wa mamba, hao walikuwa ni makenge!
Makenge waliokuwa sponsored na Jiwe mwenyewe, sasa hapo tofauti kati yake na wao ni ipi.
Kwa kuwa wao ni kenge naye alikuwa kenge pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…