Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

Jifunze kuandika basi mbona unaandika kihuni tu.

Mipango ya Mungu hakuna ajuaye, kuna watu anawapa "Summary Punishment" na wengine anawaweka kiporo. Akili zake hazichunguziki.
 
Mibongo bhna!ujuaji mwingiiii!!haya sasa hv kla ktu zanzbar adi mikopo inakopw na znzbar anapata then bara ndo wanalipa,unalzngumziaje hilo?
yes!! Safi sana acha wakule faida!! Wajue maana ya muungano ni nini!! Tena umesema vizuri mikopo!! sasa si kinachokopwa ki inarudishwa ??shida iko wapi??? Mijitu ya chato bana!! ivi mnakulaga maharage ya wapi??? Chuki tuuuu!!....kwanza madogi wako wachache wale bado unaumiaaa....fanya kazi kenge weee!
Waje wakope wakafanye biashara uarabuni tena na tena shida iko wapi??? Yaani mnaudhi mpakaaaa...
 
Jifunze kuandika basi mbona unaandika kihuni tu.

Mipango ya Mungu hakuna ajuaye, kuna watu anawapa "Summary Punishment" na wengine anawaweka kiporo. Akili zake hazichunguziki.

Mbona wewe hushasichunguza Na kutoa conclusion kwamba kuna watu anawapa Summary Punishment Na wengine kiporo, shenzi type acha kumwongelea hovyo Muweza wa Vyote. Shut up your brain [emoji3447]
 
Hili jamaaa ni ndumila kuwili
 
Una matatizo, pengine ungetekwa ingekuwa bora.
 
Umeeleza vizur na Kwa hisia Kali Ila ungeongelea kidogo upande wa pili WA shilingi
 
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu Mwenyezi.

Hongera kwa kuusema ukweli toka moyoni.

Cc.
GENTAMYCINE
 
Nimeshakwambia kwenye post iliyotangulia.

Mnachukulia, uongozi wenye kuacha alama kama ni kitu rahisi sana.

Kumbelezana, kuwaachia watu wajipimie, waibe ila wasivimbiwe, kuteua watoto wa Washikaji, ndugu zako.

Uongozi unapimwa hivi, umewasaidia Watanzania wangapi, to improve their lives, watoto wangapi, mifumo gani imewekwa kutoa haki, elimu, afya,mazingira ya kibiashara, kilimo kwa kila mtu, kila Raia hata mnyonge, Maskini.
 
Jifunze kuandika basi mbona unaandika kihuni tu.

Mipango ya Mungu hakuna ajuaye, kuna watu anawapa "Summary Punishment" na wengine anawaweka kiporo. Akili zake hazichunguziki.
Hujisomi!hueleweki!MIERDA.
 
MIERDA!
 
Mbona wewe hushasichunguza Na kutoa conclusion kwamba kuna watu anawapa Summary Punishment Na wengine kiporo, shenzi type acha kumwongelea hovyo Muweza wa Vyote. Shut up your brain [emoji3447]
Mkuu jina lake tu linasema yote,ACHANA NALO!
 
Itatuchukua muda mrefu kupata kiongozi kama Magufuli.
 
Huyu GENTAMYCINE huwezi kumwelewa kirahisi namna hiyo! Hapa anashukuru kuondoka kwa muuaji mkubwa kuwahi kutokea nchini aliyetuletea balaa na uchuro nchi nzima!
 
🤡🤡🤡👇
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…