kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Asante kuwa na maono yaliyo thabitiChuma kile, kiboko cha PUMBAVU hizi...
Jambo ambalo watu wengi wanaliletea mzaha ni kufikiri demokrasi ya mzungu ya kubembelezana na kuleana leana ndio italeta maendeleo Africa..
Africa inahitaji Ubabe, unyama na kila aina ya ukatili kwa watu wake ambao wengi wao ni wapumbavu ili maendeleo ya kweli yapatikane..
RIP JPM...
Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.Post yako tu hii imenifanya nianze Kulia.
Hii nchi na ubabe huo mbona tunapitwa na nchi nyingi tuu tena ndogo sana hapa afrika? Tumieni akili siyo nguvuChuma kile, kiboko cha PUMBAVU hizi...
Jambo ambalo watu wengi wanaliletea mzaha ni kufikiri demokrasi ya mzungu ya kubembelezana na kuleana leana ndio italeta maendeleo Africa..
Africa inahitaji Ubabe, unyama na kila aina ya ukatili kwa watu wake ambao wengi wao ni wapumbavu ili maendeleo ya kweli yapatikane..
RIP JPM...
Binafsi mpaka sasa simwelewi huyu mamaMagufuli alikuwa Ana mapungufu Kama binadamu yeyote ingawa madhara yake kwa namba moja au nyingine yaliiathiri nchi. Ila kwa tuliyenaye tutazidi kurudi nyuma zaidi kwa sababu Hana uwezo.
Ulithibitishiwa kuwa 'Hayati' aliwauwa?
Kwangu mimi JPM JPM alikuwa rais muuaji, mwenye chuki kali sana kwa wanamkosoa na kumpinga, mbinafsi aliyepitiliza kiwango cha kawaida na mungu mtu aliyependa kusujudiwa mpaka na nzi. MUNGU AMEWATENDEA HAKI WATANZANIA.Sijawahi kuwa mnafiki juu ya JPM hakika yule alikuwa ni mwanaume wa shoka hotuba zake zilitikis na zilivutia, wazungu na wawekezaji makanjanja waliufyata, majirani waliufyta wanyonge walipeta, wezi walipata tabu sana, alitujengea heshima na misingi ya kizalendo.
Kelele nyingi zidi yake zilipigwa na wale waliozoea maslhi binasfi. Embu tuwe na utaratibu wakumsifia mtu akiwa hai sio mpaka afe. Chini ya JPM hakika nchi ilijengw kwa kasi kubwa sana, kila mkoa ulifaidika kama sio hospitali basi ni stendi, soko au barabara za lami. Alale salama Mwamba.
Hutokaa ufute kumbukumbu nzuri za magu kwa hizo hoja nyepesi, watu tulikuwa tunaona matokeo, sio porojo porojoKwamba akina Musiba walikuwa Ma Kenge Tu, Kwamba kuna Ma Mamba Majangili Makubwa kabisa
We sema tuu kwamba umenyimwa ulaji tofauti na matarajio sasa unajifanya kumwaga mboga 😆😆..Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha, Kutuheshimisha, Kutuaminisha na kutuletea Maendeleo ya haraka.
Kutoka Mwezi March 2021 hadi leo hii ( Mwezi Oktoba 2021 ) nimeanza Kuiona Tanzania ya tofauti kabisa ambayo imeanza kurudi nyuma na 'Kusuasua' katika Sekta nyingi na Maeneo mengi hali ambayo imeanza Kunitisha huku Machozi ya Kumbukumbu ya Kuondokewa nae Hayati Rais Dkt. Magufuli yakianza 'Kunibubujika' tena.
Nisamehe Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kukukosoa Kimihemko, nakukumbuka, nakulilia sana na namuomba Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema Peponi ila huko Chato ulikolala sasa jua kuwa Viatu vyako bado ni Vikubwa na Vinawapwaya wale waliodhani kuwa aina ya Uongozi wako ulikuwa ni rahisi wakisahau kuwa Umahiri wako wa Kiuongozi uliongozwa ma kutawaliwa zaidi na Kumtanguliza Kwako Mwenyezi Mungu na Malaika wake.
Ninatamani 2025 aje tu Magufuli mpya.
Mazuri yapi? Mbona so far sijaona kizuri cha kumkumbuka? Kama ni afya mama ameshamuoutshine,elimu naaji ndio usiseme,ajira ndio kabisaa, uchumi mambo ni poa ..
Aisee haitakaa itokee ,wewe na mtoa mada licha ya kujiandikia maelezo meeengi ya kijinga hamna ushahidi wowote wa kuthibitisha maelezo yenu mwisho wa siku inakuwa ni chuki ya kukosa uteuzi basi.Tunawaambia siku zote magu mtamkumbuka tu
Ni vigumu kupatikana almas kama hiyo
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuhusu Kifo chake kimetokana na nini wala usijali kwani huenda nami kwa niliyoambiwa na Mchongo mzima ulivyokuwa hadi Kufa Kwake nimeanza kuuamini ule Msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na nina Watu Watatu katika hiyo 'List' huwa nikiwaona tu katika Tv ( Runinga ) huwa nazima kwa Hasira na kubaki Kuwasonya na Kuwatukana tu Kimoyomoyo na Kufuta Machozi ya kutuwahishia Udongoni Chato Mkoani Geita huyu Mwamba wetu.Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.
Siumii kwa nini amekufa maana kila mtu ataonja kaburi, kinachoniuma ni yale mazingira alokufa.
Alikufa katika mazingira gani?Na bado hujalia siku ukipata mtu wa karibu nae akakusimilia kifo chake, utaenda chato mwenyewe kuona hata kaburi yake.
Siumii kwa nini amekufa maana kila mtu ataonja kaburi, kinachoniuma ni yale mazingira alokufa.
Mliwahi kumuuliza Mbowe kuhusu kifo cha Chacha Wangwe. Je ulishawahi kungalia upande wa pili wa shilling? Siku mkija kuujua ukweli mtashangaaHata mtoto wa miaka miwili anajua ni nani alitoa order ya mauaji ya hao watu ,Zitto alishaelezea tafuta clip zake za Bungeni.
"Tulikuwa "tunatrap" simu zake mara anamwambia Mwanyika leta ducuments hii mara leta kile,Dawa ya msaliti jeshini wanajua,hauwezi kuwa msaliti halafu ukaendelea kusurvive" ...................JIWE
Baada ya masaa mawili Lissu akachapwa risasi 38...Watz sio wajinga.
Akitokea kwenye familia yenu katili mmja tuu kama yule atawasaidia Sana.Tuombe sana Mungu tupate tena kama yule au zaidi ya yule...
Nilikuwa ninakuheshimu kumbe ni bure.Hata mtoto wa miaka miwili anajua ni nani alitoa order ya mauaji ya hao watu ,Zitto alishaelezea tafuta clip zake za Bungeni.
"Tulikuwa "tunatrap" simu zake mara anamwambia Mwanyika leta ducuments hii mara leta kile,Dawa ya msaliti jeshini wanajua,hauwezi kuwa msaliti halafu ukaendelea kusurvive" ...................JIWE
Baada ya masaa mawili Lissu akachapwa risasi 38...Watz sio wajinga.
Itakuwa ni jambo jema sanaHamtakaa mumpate tena