Nimerejea tena!

Habari zenu Wakuu!

Ni matumaini yangu wote mpo salama salimini.

Nimerejea tena baada ya kutumikia adhabu ya wiki nzima.
yaelekea wewe ni "mwiba".
urudi taratibu basi watu wasijechomwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…