Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu tenaHabari zenu Wakuu!
Ni matumaini yangu wote mpo salama salimi.
Nimerejea tena baada ya kutumikia adhabu ya wiki nzima.
kosa lipiAhsante mkuu
Ndio, imeniuma sana maana kosa lake ni dogo sana
Ahsante Sakayo
Kwa kuwa imeshapita songa mbele usikae na kuanza kuiwazia.Ahsante mkuu
Ndio, imeniuma sana maana kosa lake ni dogo sana
Ahsante Sakayo
yaelekea wewe ni "mwiba".Habari zenu Wakuu!
Ni matumaini yangu wote mpo salama salimini.
Nimerejea tena baada ya kutumikia adhabu ya wiki nzima.