kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu kwema?
Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.
Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?