Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Saanaaaa so free like a molecule... [emoji38]
Sasa ukiwa na kitambi hivi inakuaje... [emoji28][emoji28][emoji28]

Si ndio pale mtu ana kishika na kukibenjua kukiangalia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mirror mirror on the wall........

Ila kioo sijui kinakuwaga na mashetani gani kuna mda unaweza kujikuta unafanya maajabu flani hiviiii... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha kabisaa, mie hadi nimeweka kioo bafuni kwangu. Nikiwa naoga najiona mwili mzima.
Nisipokiwa makini naweza maliza lisaa lizima bafuni aahahahahaha.
 
Unaenjoy view in HD sio 🤣🤣🤣
 
Sasa ukiwa na kitambi hivi inakuaje... [emoji28][emoji28][emoji28]

Si ndio pale mtu ana kishika na kukibenjua kukiangalia

Mie huwa nainua sehemu zote zilizojificha najitazama .......

Manyonyo, love handles, makwapa ya juu na chini n.k.

Mara nyingine huwa nafanya sarakasi za ajabu tuu ....😅 kioo kitamu sana.
 
Vipi Ulimsukumiaa motoo akiwa umeshikaa dress table????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kuna Watu wengine wanategwa lakini hawategeki,Mimi hapo naminingevua nguo zote alafu tucheze Mziki wote kwenye hiyo dressing table! Kuna muda mwingine Wanawake wanapenda kucheza rough games in the room,sema Wanaume wengi wanakua hauwajuwi!!
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Na wewe ungevua mkaanza kucheza wote, maana nyie ni mwili mmoja .
 
Wakuu kwema?

Jana jion nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
cha ajabu ni nini?
 
Kuna Watu wengine wanategwa lakini hawategeki,Mimi hapo naminingevua nguo zote alafu tucheze Mziki wote kwenye hiyo dressing table! Kuna muda mwingine Wanawake wanapenda kucheza rough games in the room,sema Wanaume wengi wanakua hauwajuwi!!
Huyu kilaza wa mwishoo kabisaaa... yani anashangaa mke wake kuchezaa uchiii aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ufala sana huu

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kuna Watu wengine wanategwa lakini hawategeki,Mimi hapo naminingevua nguo zote alafu tucheze Mziki wote kwenye hiyo dressing table! Kuna muda mwingine Wanawake wanapenda kucheza rough games in the room,sema Wanaume wengi wanakua hauwajuwi!!

Sure..👍🏼
 
Back
Top Bottom