Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Yap kawaida sana mara nyingi mtu ukiwa mbele ya kioo unafanya mengi ya ajabu anzia kujiangalia sura huku unabinua midomo, kutunisha misuli (kwa wanaume) kujiangalia makalio (wanawake)
 
Sasa ungekuta anamegwa je,si ndio ungeshindwa kupumua?relax,ndani ya kuta nne kunamengi
 
Muda huo simu alikuwa ameiweka wapi?

Huo mzigo wenye koneksheni watakuwa kazini kuurelease
 
Mke wako ni mchawi, mlete kwangu akae wiki moja tu, nimtoe uchawi wake wote. Pia ninafuta chale
 
Aaahahahahahahahahhaaa

I see myself in her...

I love that life...

Self evaluation [emoji12], shurti raha kujipa mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mirror mirror on the wall........

Ila kioo sijui kinakuwaga na mashetani gani kuna mda unaweza kujikuta unafanya maajabu flani hiviiii... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…