Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Unaweza ukajiangaliaa kwa kiooo...ukajiina Sexy vibaya mno


Alafu ukivaa nguo...unaanza,dooh tumbo hili...Doo Mattercore yamekuwa makubwa Sana...Dooh nianze kukimbia Sana...paja limekuwa hinha
Je hii ni kuashiria kwamba CreditAnalyst anao utajiri wa mnofu, mafta mafta si haaabaa, huh [emoji848] Wazee wa bandaariii, meli hiiyooo
[emoji2099][emoji2099]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Kwasisi wataalamu wa hayo mambo tunasema, huyo mara nyingi anafanya video call na bwana wake then anamuonesha utupu wake kipindi wewe haupo. Hiyo jana bahati yako tu umemfuma, na hapo kuna mawili, wewe uliwai kabda hajaanza kuongea na bwana wake au umechelewa sana mpaka teyari alishamaliza kuongea nae. Braza kuwa makini na mke.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mtakua hamuendi kazini sasa, maana kuna zile mnapigana vya asubuhi mpaka mnachoka mnajikuta usingizi mzito, bafuni, jikoni, yani peleka motooo
Hizo ukifikisha miaka 40 na kuendelea unazisahau,hizo tulizipiga tukiwa kwenye 20es.
 
Mwanadamu anapenda sana faraga, nahisi ni nature yetu, ata wewe hapo ukijichunguza kuna muda unataka kufanya baadhi ya mambo kwa siri, simu zimekuja kutimiza azma nzima ya usiri unahitahi bando na charge baaaasi

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wanaangalia sura zao..rangi zao mapaja yao...Urefu wao..nywele..kucha..miguu..macho..nk..

Ila.unaweza jiangalia pia ukajiona mbaya Sana.... Hadi ukatamani usijiangalie Tena..

Ina depend how you feel that day

Mimi kioo kipo bafuni tu, nachojiangalia ni ukuni nautikisa kidogo kama naupima uzito hivi basi sijiangalii kingine
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Kwani hapo shida Nini au tatizo Nini mbona kawaida Sana hiyo kwa wanawake boss kuwa naamani Yuko sawa kabisa.
 
Halafu huwa anajirekodi na kunitumia video mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapaka shume hamkosi duuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom