J JAY MTAALAM JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 1,595 Reaction score 1,388 Sep 9, 2024 #1 Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
Salaam kwa Wanajukwaa..baada ya pilika pilika na changamoto za hapa na pale nimerejea Jukwaani.Namshukuru Mungu Kwa Uhai..Sasa nitaweza kusoma na Kuchangia hoja
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 10, 2024 #2 Karibu tena mkuu