We nae unanchekesha,mtoto keshapandishwa pipa na judgement wako Acapulco holiday wendo unakuja na ngonjera hapa?
We kaugulie tu maumivu.
platozoom nahisi kama ishakula kwako tayari ila ngoja tuone kama Judgement hakukamilisha utaratibu wa kumcheat beibe nasty kwa mkeo ila tuko pamoja usijali kizuri kula na ndugu yako
BTW tulikumiss sana karibu sana
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .
Acha udaku utasutwa...mtoto nimemmiliki 1000% kama unabisha nimwite...hallo my charminglady
Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .
we uache uongo! si uliniPM kuniambia Amyner manyoya chali ushamnyonyoa? tena ukaniambia kiuno chako kimepoa, lol!Kweli leo ndy nimeamini kwa vipi huyu Mzee Byshanger wanamsuta kila uchao!
Bwana Platozoom sihusiki na relation yeyote na mama ya boma yako!
Muulize katoa wp hiyo maneno? Akupe na evidence .
Dozi ya mchana...kapumzika kidogo nitamwamsha hivi punde ....Tafuta pa kujificha
Nisamehe My Sweet heart honey nayekupenda….
Nilikuwa nakujaribu nione kama unanipenda
Nikajificha mbali ili nione watakaolonga
Nimerudi ulingoni nione atakaye kutenda
Usijali ya wambea wakisikia watakonda
Nimesikia ya @Mur-sir na Erickb52 eti wanakupenda
Ni waongo usiwasikilize nyoyoni wamejaa inda
Najua na Bishanga alitaka kukulaghai umpende
Lakini nimetulia tuli muhibu wako njoo unipe denda
View attachment 57080