CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
We nae unanchekesha,mtoto keshapandishwa pipa na judgement wako Acapulco holiday wendo unakuja na ngonjera hapa?
We kaugulie tu maumivu.
Acha udaku utasutwa...mtoto nimemmiliki 1000% kama unabisha nimwite...hallo my charminglady
Mbona haitiki? Kalagabao?
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah karibu my hezbend.................. pokea hiyo zawadi ya kiss
mi nashangaa kwanini unaniogopa wakati mimi ndo nachukua mzigo. Hata wiki iliyo isha nlikuwa naye tarime pale majengo. usionee dagaa onea kambale. miaNimesikia sana story zako................wewe jitetee tu...Sasa hivi naelekea kwa Mzizi mkavu afanye mambo
www.uchonganishi.co.bukoba, lol utasutwa tena! hayo yangu na Judgement we yakuhusuni kha?!Huu sasa ndo umbea in its purest form!
mi nashangaa kwanini unaniogopa wakati mimi ndo nachukua mzigo. Hata wiki iliyo isha nlikuwa naye tarime pale majengo. usionee dagaa onea kambale. miaNimesikia sana story zako................wewe jitetee tu...Sasa hivi naelekea kwa Mzizi mkavu afanye mambo
endelea kusema ukweli, uone kama kilugwai hakijaitishwa tena! lol!Hivi kusema ukweli siku hizi ni kosa?
kajikwangua mihina waliyompaka kwenye kilugwai, ndio katoka nje saa hizi unamuona ana mdomo hivyo, lol!mwambie wewe
Ukisikia usanii......
endelea kusema ukweli, uone kama kilugwai hakijaitishwa tena! lol!
mi nashangaa kwanini unaniogopa wakati mimi ndo nachukua mzigo. Hata wiki iliyo isha nlikuwa naye tarime pale majengo. usionee dagaa onea kambale. mia