a,aleykum wapenz wangu wa humu,, nawajulisha tu kiufupi nimerudi nikiwa hai,,,mana mda wa siku takriban 5 days,,,nilipatwa na maradhi kidogo lakini la ila llah,,nimerudi ndugu zangu,,,ispokua kuwajulisha na kuomba sala zenu nilikutwa na maradhi ya qalb (hearts probems)ila si kubwa linawezekana ku be solved wiithin 3months,,dua zenu pia muhimu,,,tuko wote alhamdulillah,,:A S-rose::A S-rose::grouphug:
Pole sana mamy wajua tena maradhi wameumbiwa wanadamu nawe ni mmoja wapo.....Anasema Allah katika kitabu chake kitakatifu kuwa... Hakika nimewaumbia maradhi na kila moja nimelipatia dawa... Naamini kwa kudra zake Allah SW utarudi katika afya yako na utaendeleza azma yako ya kumcha na kumtumikia yeye
Pole sana uhkti Niliham, Mwenyezi Mungu ata kuafuu Insha'Allah.a,aleykum wapenz wangu wa humu,, nawajulisha tu kiufupi nimerudi nikiwa hai,,,mana mda wa siku takriban 5 days,,,nilipatwa na maradhi kidogo lakini la ila llah,,nimerudi ndugu zangu,,,ispokua kuwajulisha na kuomba sala zenu nilikutwa na maradhi ya qalb (hearts probems)ila si kubwa linawezekana ku be solved wiithin 3months,,dua zenu pia muhimu,,,tuko wote alhamdulillah,,:A S-rose::A S-rose::grouphug:
Pole sana uhkti Niliham, Mwenyezi Mungu ata kuafuu Insha'Allah.
a,aleykum wapenz wangu wa humu,, nawajulisha tu kiufupi nimerudi nikiwa hai,,,mana mda wa siku takriban 5 days,,,nilipatwa na maradhi kidogo lakini la ila llah,,nimerudi ndugu zangu,,,ispokua kuwajulisha na kuomba sala zenu nilikutwa na maradhi ya qalb (hearts probems)ila si kubwa linawezekana ku be solved wiithin 3months,,dua zenu pia muhimu,,,tuko wote alhamdulillah,,:A S-rose::A S-rose::grouphug:
Waleikum Salam Habibty,
Awal ya yote Shahar Shawal Mubarak, InshaAllah kwa rehma za mwezi wa Shaawal Duwa zetu ziwe maqbul. InshaAllah Allah atakupa shifaa na siha njema Amin.
I miss and love you mingi mingi.
:tea:pole shostingo,get well soon!
nimefurahi kukuona tena,i dont know why lkn nimekuzoea ghafla tofauti na wageni wengine ambao hunichukua muda mrefu kuwazoea!
Uhkti Nilham, unatakiwa kuwa na subra, kwani kwa hakika umuhimu wa Subra umeelezwa katika Qur'an na Sunnah, kwa kupatiwa mafundisho mbali mbali kupitia Manabii wa Allah (‘Alayhimus Salaam) na pia kwa Maswahaba (r.a).shukran abuy kwani ni moja wapo ya kumuwajibikia allah let us shukri to allah,,i but 4 other time i feel like i'm no more again i do know why
??and by the time when i join in this site my happiness desipear because the one who tells me pole sana naona kama ndio anambi kwaheri nill i do know why my best??? but every thing go and be allright...
pole na karibu tena Nilham
Pole sana Nilham, hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu
Uhkti Nilham, unatakiwa kuwa na subra, kwani kwa hakika umuhimu wa Subra umeelezwa katika Qur'an na Sunnah, kwa kupatiwa mafundisho mbali mbali kupitia Manabii wa Allah (‘Alayhimus Salaam) na pia kwa Maswahaba (r.a).
"Na subiri, nakusubiri kwako kusiwe ila kwa sababu ya Allah."
An-Nahl: 127
Uhkti Nilham, ukiwa ni mwenye subra ni hakika kabisa utapata ujira wa Subra kutoka kwa Allah kwa kusubiri kwa ajili Yake pekee. Na hakika hakuna Subra yenye ujira ispokuwa inayokwenda sambamba na Ikhlaas kwa Allah (Subhaanahu Wa Ta'ala) kwa kukubali na kuwa na Iymaan juu ya mitihani itakayokupata kwa kuamini kuwa Allah Ndiye wa kuiondosha.
"Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu."
Az-Zumar: 10
Pole sana dada, Inshallah mwenyezi mungu ata kupa Afueni, ukishapata Nafuu jaribu sana kufanya mazoezi kidogo kidogo, kwani magonjwa ya moyo mara nyingi husababishwa na kukosa mazoezi na kujaa kwa mwili sana. Pole dadaaa!!!!