Nimerudi salama-Niliwamiss sana

Status
Not open for further replies.

Ewaaaaa! wewe hapa ndio umerudi kwenye mada kuu ya hii Sredi.

mambo ya kulazimishana sijui mtu akae wapi ndo anastahili kugombea uongozi, si mada ya kujadili hapa.
 
Kupumzika baada ya kampeni ni lazima kuondoka Kilombero ?
mtanzania yeyote ana haki ya kupumzika popote pale. Kiranga hawezi kupangia watu maisha!

si kweli hata kidogo. Kutumikia nchi yako au jimbo lako si lazima uwe mwanasiasa. Labda wewe tu ndo unadhani kuwa siasa ndo njia pekee ya kulitumikia taifa
Mtu mwenye nia ya kuleta maendeleo Kilombero hata akishindwa ubunge atatafuta namna nyingine ya kufanya kazi na watu wa huko, sio kuwakimbia wiki moja baada ya uchaguzi.

unaijua mipango yote ya regia wewe?
 
speed in a wrong direction is irrelevant

Unajitahidi sana, lakini unavyozidi kujitahidi ndivyo unazidi kujiadhiri.

Actually speed in the wrong direction is very relevant. Because the more you move in the wrong direction the further away from the right destination you get. One must always head in the right direction.

Na hapa Regia amekuwa na speed in the wrong direction. Badala ya kuzama zaidi Kilombero na kuwajua zaidi wananchi wa Kilombero, yeye wiki moja tu baada ya uchaguzi kawakimbia.

Speed in the wrong direction, very relevant.
 
Kama hujui huna haki ya kubishia hoja zangu kuhusu wawakilishi na wadau wanaojinadi kutaka uwakilishi kuwa karibu na wananchi, mimi najua Regia Kilombero si primary domicile yake.

swali langu umelipiga chenga ya mwili. Unaijua mipango ya regia wewe (licha ya madai yako ya kujua makazi yake yako wapi)
 
 
Karibu GS.... tumekumiss sana na nakupongeza kwa mapambano... Tuombe uzima tukae tunywe soda, tuombe misa ya sukrani na kuangalia mbele

Binafsi naomba u-protest yale matokeo kwa kufuata taratibu, najua umechoka na inawezekana finances zikawa tight lakini naomba usichoke... we have high hopes
 
Karibu sana Regia tupo pamoja.

Achana na Kiranga wivu unamsumbua tu hana lolote.
 
Karibu sana Regia tupo pamoja.

Achana na Kiranga wivu unamsumbua tu hana lolote.

Nimemkumbuka rais wangu mstaafu Mheshimiwa sana Mkapa... "WATU WENGINE WANA WIVU WA KIKE" Hivi kuna wivu wa kike na wa kiume?
 
Kiranga jibu swali langu; unaijua mipango yote ya regia?
 
kweli mkuu NN,

sometimes we behave kama sisi ndio wagawa riziki, jamaa hata kuuliza umerudi una mipango gani? hakuna, kaanza front na kuonyesha kama sijui nini vile

WE HELP EACH OTHER CONSTRUCTIVELY AND NOT BY CRITICIZING ALONE
 
Nimemkumbuka rais wangu mstaafu Mheshimiwa sana Mkapa... "WATU WENGINE WANA WIVU WA KIKE" Hivi kuna wivu wa kike na wa kiume?

Wivu wa kike mbaya sana maana unabomoa
 
loud and clear cousin--- pamoja kama kiranga na ubishi
 
...

Binafsi naomba u-protest yale matokeo kwa kufuata taratibu, najua umechoka na inawezekana finances zikawa tight lakini naomba usichoke... we have high hopes

You are requesting her to protest the results, regardless of the tight finances.
Mwisho unampamba kuwa una high hopes. This psychological push mnayowapa wenzenu hapa inawafanya wachemshe kwa kuwa wanaacha kufikiri kivyao zaidi, wanafikiri kuwaridhisha wapambe.
Wapambe nuksi.
 

Sawa sawa,

Lakini kina Simon Mbilinyi walivyoenda kupumzika Bahamas wakati constituencies zao zinaishi maisha ya dola moja kwa siku huko tuliwaita mafisadi, Regia leo anapata pass kwa sababu gani? Kwa sababu CHADEMA ?

Kama unajua kwamba kulitumikia taifa ni zaidi ya siasa ungeshangaa Regia kuwakacha wananchi wa Kilombero wiki moja tu baada ya uchaguzi.

Siwezi kujua mipango ya Regia, kwa sababu so far anaonekana hana mipango. Mtu mwenye mipango anaweza kutoa vipost kama vya Regia ?

Anasubiri huruma za party bigwigs wampe kiti maalum tu bungeni, we unafikiri kurudi haraka mjini kuna sababu ndogo ?
 
and thats where we differ, agreed to disagree

good luck
 
nimemkumbuka rais wangu mstaafu mheshimiwa sana mkapa... "watu wengine wana wivu wa kike" hivi kuna wivu wa kike na wa kiume?
yeah sure... Ni wa kike alisema msekwa, sijui inakuaje
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…