Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

Miaka 11 iliyopita nilimaliza form 4 nikakosa nafasi ya kuingia form 5

Nimestay street 11 years nikasema2024 ni muda wa kuanza kutimiza ndoto zangu

Binafsi I live in another dimension hua sikati tamaa ndo maana nmejiita riskytaker

Nina misimamo mikali sana mixer maamuzi makali ambayo ordinary people hawez kudhubutu

Furaha yangu ni Mpira ,pesa , na kusoma .naamini with effort it can be done
.napambana kimtindo japo physics ni ngumu
Ila .bado Niko na matumaun kibao kwa sababu wakati bado Upo .

Kwa umri nilio nao ni umri wa PhD au masters kw nchi kama china Japan na south Korea.

Nilichogundua Tanzania tuna potentials sana Ila obstacles na challenges ndo zinatutoa kwenye mstari na kuchelewa kufikia malengo
Kwaio hii kitaalam inaitwaje
 
Ingia open ndugu, kale foundation studies endelea na elimu za juu. Kwa hulka uliyonayo yakusoma utafaulu vizuri sana kule. Otherwise best wishes in your studies
 
Mkuu, ivi Open unaweza kusoma online mpaka siku ya paper, bila kwenda chuoni.?
 
Ndio mkuu, hata bila kujuana na walimu wala kuhudhuria vipindi vya zoom. Cha maana usome vizuri na kujibu mitihani yako vizuri
Ujue ratba za mitihani and university calender haswa field training haswa.
 
Nakuja inbox mkuu... 💪
 
Miaka 11 iliyopita nilimaliza form 4 nikakosa nafasi ya kuingia form 5

Nimestay street 11 years nikasema2024 ni muda wa kuanza kutimiza ndoto zangu

Binafsi I live in another dimension hua sikati tamaa ndo maana nmejiita riskytaker

Nina misimamo mikali sana mixer maamuzi makali ambayo ordinary people hawez kudhubutu

Furaha yangu ni Mpira ,pesa , na kusoma .naamini with effort it can be done
.napambana kimtindo japo physics ni ngumu
Ila .bado Niko na matumaun kibao kwa sababu wakati bado Upo .

Kwa umri nilio nao ni umri wa PhD au masters kw nchi kama china Japan na south Korea.

Nilichogundua Tanzania tuna potentials sana Ila obstacles na challenges ndo zinatutoa kwenye mstari na kuchelewa kufikia malengo
Uzi wa elimu inakupa wigo mpana wakufikiria vitu chanya katika maendeleo
 
Good.. fanya kile moyo unapenda humu wapo tutakapa moyo na wapo watakao kikatisha tamaa.. jiamini
 
Back
Top Bottom