Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

Kwaio hii kitaalam inaitwaje
 
Ingia open ndugu, kale foundation studies endelea na elimu za juu. Kwa hulka uliyonayo yakusoma utafaulu vizuri sana kule. Otherwise best wishes in your studies
 
Mkuu, ivi Open unaweza kusoma online mpaka siku ya paper, bila kwenda chuoni.?
 
Ndio mkuu, hata bila kujuana na walimu wala kuhudhuria vipindi vya zoom. Cha maana usome vizuri na kujibu mitihani yako vizuri
Ujue ratba za mitihani and university calender haswa field training haswa.
 
Nakuja inbox mkuu... 💪
 
Uzi wa elimu inakupa wigo mpana wakufikiria vitu chanya katika maendeleo
 
Good.. fanya kile moyo unapenda humu wapo tutakapa moyo na wapo watakao kikatisha tamaa.. jiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…