nimerudi tena jameni

nimerudi tena jameni

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
 
Kurudi kwako kunatusaidia nini..... kweeeeeennddddrrraaaaaaaaaaaa
 
😂😂 itakuwa vyema tukikukaribisha huku nasi tukitaja hobi zetu Mimi ni mpinzani usiulize wa nini! Nina Kibamia ila kikubwa! Napenda mikwara nashabikia ngumi ila sana napenda kupigana ndotoni! Chakula nachopenda ni ugali,wali na samaki chips kwangu ni mboga.. mapenzi nayapenda ila wapenzi hawanipendi kitu kinachofanya nijiite kenge 😜
 
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
[Karibu sana
 
Badilisha hiyo avatar yako kwanza,ndio tukupokee...
 
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana

Akaunti yako ya JF uliyokuwa unaitumia katika miaka 4 tuoneshe tuifahamu
 
Shule ya Msingi & Secondary ulisoma wapi?
 
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
Ungeenda kukanyaga mafuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
Screenshot_20200218-142144.png

Kwahiyo November 2017 hadi leo ni miaka minne?
 
Back
Top Bottom