Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tutarajie kukuona jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki sio ? Maana umesema unapenda sana kufanya mapenzi.wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
😀😀😀😀mnipokee kwa tabasam
Sasa mkuu mbona hujabadilika,au hukui tena.wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
Haujatulia kama mshale wa sekundewakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana