nimerudi tena jameni

wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
Kwa hiyo tutarajie kukuona jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki sio ? Maana umesema unapenda sana kufanya mapenzi.
 
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana
Sasa mkuu mbona hujabadilika,au hukui tena.
 
Kwa hiyo ndio ukaamua upitie mlango huu
wakuu nilipotea humu jf kwa miaka kama minne hivi, sasa nimerudi tena mnipokee hobi zangu nikama ifatavyo: napenda yanga na liverpool, chakula nikipendacho ni ugali na dagaa ,pia napenda sana kufanya mapenzi (na mke wangu) .asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujatulia kama mshale wa sekunde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mods kwanin mmeniweka huku cheat chats, si bora mngenipeleka sports bwana ..aakh
 
karibu tena mkuu huku sahiv mambo ni kula kinasihara.. sijui kama ushawahi kula fruit kimasihara,
naona tuanzie hapa kwanza, kama salamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…