Nimerudi tena, JF patamu

nilihisi kuna kitu kimepungua asaiv nagundu kumbe n ww baada ya moyo kurudi kwenye makazi yake.
 
Wakuu habarini...

Nimewamiss sana...

Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...

Donatila...
Ulikua wapi kwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…