Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma mpesa kwanza...ha ha haaa...
Jamani...pole...sasa funguka tuu mkuu...nimerudi!
Ulikua wapi kwaniWakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Mtani upo? Na wewe nikukaribishe sijakutia machoni siku chacheHahaaa. Mtani kwani hajamilikiwa bado?
Hahaaa. Mtani kwani hajamilikiwa bado?
Nipo Mtani. Ahsante bana sio wewe ndio nikukaribishe?Mtani upo? Na wewe nikukaribishe sijakutia machoni siku chache
Oooh! Hiyo nzuri Mtani.Mtani, kwani hujui nyie mko wengi?
Kwa hiyo inabidi ratio iwe 1:1.5, hiyo 0.5 ndiyo nayoitafuta.
Mimi nipo mtani hatutafutani....vijana wako wanarudi twende tukawapokee airportNipo Mtani. Ahsante bana sio wewe ndio nikukaribishe?
Oooh! Hiyo nzuri Mtani.