Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
HahahChura ipo?
Usijali mkuu...saivi nabobea MMU na humu...
Wakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Karibu sana, nilikumiss sana.
Nilijilaumu kwa nini umeondoka kabla sijakwambia ya moyoni mwangu juu yako.
Nitakucheki private, naangalia convenience kwanza.
Ila kiukweli wewe sijui ulianza kunikamata lini, lakini una attention yangu muda sana.
Sema nakuona ni akili kubwa kwa hiyo napanga mistari vizuri.
Ulipo nipo πππ π‘
Sweet nisamehe, niliteleza.
For some reasons nimekasirika kweli ujue
Mpenzi uhali gani?Kuanzia leo tusijuane!!!!!!
I know, you have all the rights.
Na nimevunja rule ya "Never make a promise you can't keep".
You remember I promised kuacha hizi chitchats.
Mpenzi uhali gani?
ππ
Nimesamehe
Lakini nitoe katika list yako sasa
Ni njema tuu nakuwaza kucha kutwa mpenziNiko salama kabisa mpenzi...hali ya kwako?
Nitakucheki private, naangalia convenience kwanza.
Ila kiukweli wewe sijui ulianza kunikamata lini, lakini una attention yangu muda sana.
Sema nakuona ni akili kubwa kwa hiyo napanga mistari vizuri.
Kwa hiyo angekuwa Demiss ungetiririka tu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Jaribu kuformatRemove file from list.
Loading........
Failed.
File can not be removed from the list, it will corrupt the whole system.
πππNi njema tuu nakuwaza kucha kutwa mpenzi