Nimerudi tena, JF patamu

Nimerudi tena, JF patamu

Jamani mrembo ulikuwa wapi?
Tuli-miss vingi sana
 
Kwa hiyo angekuwa Demiss ungetiririka tu mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Nitakucheki private, naangalia convenience kwanza.

Ila kiukweli wewe sijui ulianza kunikamata lini, lakini una attention yangu muda sana.

Sema nakuona ni akili kubwa kwa hiyo napanga mistari vizuri.
 
Back
Top Bottom