Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karbu njoo pmWakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Tuma mpesa kwanza...ha ha haaa...
Ulikuwa wapi mdada?Wakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Ngoja nione [emoji130]Namba nishatupa PM
MmmmmmmmhNamba nishatupa PM
Acha bana...hujaona tu...au zuga?
Ubize tu mkuu...