Nimerudi tena: Natafuta mke wa kufanana nami

Nimerudi tena: Natafuta mke wa kufanana nami

Ndugu yangu nimesoma bandiko lako nimeguswa kukusaidia. Ni PM tuzungumze mawili matatu. Ila kama unatafuta mabinti wa watu kwa nia ovu usini-Pm.

Fanya hivyo muda wowote utakaopata ujumbe huu.
Kinachotufanya binadam tusiaminiane ni uovu tunaoutenda sisi wenyewe...,mm ni m2 mwema na ni mpole niliyepitiliza (siyo muongeaji na nina uhakika muhusika atakayepatkana ataleta mrejesho wa hali ya maisha)
By the way,nitakutafuta Mkuu!
 
Baada ya kukosa mke mwema sasa unatafuta unayefanana nae,kuna binti niko ne hapa mkuu yuko tayari ila ana pumu,legeza masharti kidogo uchukue chombo[emoji39]
Asante sana Mkuu,kuna ndugu yangu alishawahi kumuoa mwanamke mwenye tatzo la pumu...,ikitokea tatzo hilo limempata akiwa mwenyewe huwa anahangaika sana,pia kama unavyojua sisi wanaume ni viumbe wa kutembea muda mwingi kwaajili ya kutafuta au kujiongezea kipato...maradhi yakimpata akiwa mwenyewe anaweza kuhangaika sana!
 
yani unataka aliye around the lake zone afu unaleta uzi jamii forum???......pita kwenye maredio yanaishia frequency za huko huko wakutangazie ndugu....
Asante sana Mkuu,
Lakn tambua jambo hili 'Jf' ni social media kubwa sana kuliko hizo Radio/TV stations zilizopo kanda ya ziwa au Tanzania yote kwa kuwa mambo yako hivi;
Unaweza ukawa unaishi Dsm lakn unamfaham m2 mwenye hitaji kama LA kwangu ( anahtaji mume mwema) lakn anaishi kanda ya ziwa so,unaniunganisha naye kwa hyo we hata kama upo Mkoa mwingine bado unayo nafac ya kutuunganisha cc tuliopo kanda ya ziwa ambao hatufahamiani!
 
Mkuu mbona kama umekata tamaa ndugu??, vigezo vyako vimenifanya nisikitike ila fresh tu! labda ndio ulivyoamua mkuu.

Kila la kheri

Ila ushauri tu!, tembea utongoze tongoze huko mtaani kwenu, huwezi kosa mke ni basi tu unaogopa changamoto labda ndgu
 
Mke hatafutwi hivyo,unaishi wapi ambapo hukutani na wanawake? Una walakini...,uundiwe tume

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], shiiiii!!!!!!!, usimseme kwa nguvu hivyo nduguu watu watasikia[emoji23][emoji23]
 
5c4f15ab7cca7016c5d7ae5e72e94e14.jpg
huyu mnafanana hasa macho
 
Mungu akuongoze mkuu, maana huku bongo watu wako nyuma San, wanadhani wanaumme wanaotafuta wake mitandaoni n Malaya, wana kasoro au vyovyote vile lkn huo sio ukweli! Inawabidi wachangamkie seal
 
Back
Top Bottom