Wisdom Flag
Member
- Oct 16, 2018
- 28
- 18
Itakuwa haukutengeneza project na Kama ni hivyo ndo hiyo prompt inatokea, Nafikiri inashindwa kutambua compiler ipi itumike.Habarini wana programmers..
Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.
Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI
View attachment 1373086
Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.
Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.
View attachment 1373092
View attachment 1373077
Itakuwa haukutengeneza project na Kama ni hivyo ndo hiyo prompt inatokea, Nafikiri inashindwa kutambua compiler ipi itumike.
Au haukufanya installation vizuri.
solution
1. Jaribu kutengeneza project kwa ku click on "file->new->project Kisha kachague console application Kisha next Kisha type name of your project, then chagua path Kisha chagua lugha unayotumia ni c au c++ kwa kuwa code zako ni c++ Basi chagua hiyo Kisha save project.
ikifunguka huonyesha hizo code automatically au unaweza badili na ukitaka ku run tumia build and run sio run.
Solution ya pili
Unistall hiyo code block Kisha install upya hakikisha unachagua aina ya compiler kwenye prompt after installation.
NB.
Usipende kutumia codeblock setup only unaweza tumia codeblock mingw setup Iko fresh Sana
Download binary
dha, pitia kwenye chaneli yangu ya youtube mkuu, kuna tutorial kule
Unasoma C++ ili uifanyie nini? I mean what do you want to build with C++? Na kwanini C++ na sio language nyingine?Habarini wana programmers..
Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui tatizo nini.
Na kwenye ile tutorial naona cout iko na rangi iliokoza sio kama yangu TATIZO NI WAPI WAKUU NISAIDIENI
View attachment 1373086
Nikibonyeza kweny run au build and run inakuja hako kadialog, nikibonyeza Yes inakuja hivyo hivyo kadialog tena.
Ila nikibonyeza no inakuja kama hapo chini excution yake.
View attachment 1373092
View attachment 1373077
mkuu mimi ni beginner wa programming kwenye tutorials ninazo soma na mimi huwa najaribu kuona kama itatokea as how nimekuwa instructed i mean natak kuwa programmer kama wengineUnasoma C++ ili uifanyie nini? I mean what do you want to build with C++? Na kwanini C++ na sio language nyingine?
mkuu chanel yako inaitwaje?dha, pitia kwenye chaneli yangu ya youtube mkuu, kuna tutorial kule
inaitwaje kwan
mkuu chanel yako inaitwaje?
Ndio kujifunza hivyo, mdogo mdogo.View attachment 1374564Daaaa kaka nashukuru sana asee nimeweza maana ilikuwa inanisumbua hatari ninaunistall lakin wapi nildowload setup zote za code blocks ila thanks sana kaka i'm done for that
Mkuu hujajibu swali.Swali la kwanza unalotakiwa ujiulize kwa nini unajifunza programming, ukishapata jibu ndio uchague language ya kujifunza.Kila lugha ina solve tatizo lake.Mfano kama hard ware designer itabidi ujifunze c,c++,c# machine language.Robotic python, game development c,c++,web development HTML,CSS,JavaScript, Android develop java,iOS ..,. Data science,Croud cimputind AI python. Kwa hio kuna mambo mengi na huewezi kusoma kila kitu utakuwa mediocre programmer.mkuu mimi ni beginner wa programming kwenye tutorials ninazo soma na mimi huwa najaribu kuona kama itatokea as how nimekuwa instructed i mean natak kuwa programmer kama wengine